Education is the answer

Taratibu za malipo ya ada na michango mingine.

Ada ya shule ni kama ifuatavyo:-

Darasa la Awalini sh. 300,000/= kwa mwaka.
Darasa la I – VII ni sh. 500,000/= kwa mwaka.

Nauli ya usafiri kwa mwanafunzi anayetumia basi la shule ni kama ifuatavyo:-

·        Mwanafunzi anayetoka Nyehunge au Bupandwa atalipa sh. 200,000/= kwa mwaka.
·        Mwanafunzi anayetoka Isaka, Kafunzo au Bilulumoa talipa sh. 80,000/= kwa mwaka.

Ada na michango mingine inalipwa kwa awamu mbili:-

i)             Mwanzo wa mwaka (Januari – Juni)
ii)            Baada ya likizo ya mwezi wa sita (Julai – Septemba)

Malipo yote yafanyike shuleni Bukombe primary school .

No comments:

Post a Comment

APPLICATION FORM

ADA/FEES STRUCTURE

NEWS EVENT

OUR CALENDAR