Education is the answer

BUKOMBE PRIMARY SCHOOL INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO



SHULE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI KUANZIA AWALI HADI SHULE YA MSINGI KWA MWAKA WA MASOMO JANUARI –DESEMBA 2018.


SHULE IMESAJILIWA KWA NAMBA:MZ.07/7/EA.008 KWA SHULE YA AWALI NA MZ.07/008 KWA SHULE YA MSINGI .

·         SHULE INA MAZINGIRA SAFI NA SALAMA KWA WATOTO.
·         MALEZI BORA, TAALUMA BORA PIA MICHEZO INATHAMINIWA.
·         WALIMU WENYE UZOEFU KATIKA UFUNDISHAJI
·         KIINGEREZA NI LUGHA INAYOTUMIKA KUFUNDISHIA PIA KWA MAWASILIANO    SHULENI
·         TUNATOA HUDUMA YA MAJI,UMEME,UJI PAMOJA NA USAFIRI
·         PIA TUNATOA HUDUMA YA  MALAZI KWA WATOTO WANAOTOKA MBALI
·         ADA YETU NI NAFUU.

USAJILI UNAENDELEA SHULENI
FOMU ZINAPATIKANA NYEHUNGE GOROFANI, STATIONARY YA JOKABU
UKIONA TANGAZO HILI MJULISHE NA MWENZAKO
WAHI NAFASI NI CHACHE
KWA MAWASILIANO: 0687-484286, O767-415154 AU 0688-727084.

NYOTE MNAKARIBISHWA


Share:

No comments:

Post a Comment

APPLICATION FORM

ADA/FEES STRUCTURE

NEWS EVENT

OUR CALENDAR