SHULE INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA WANAFUNZI KUANZIA AWALI HADI SHULE YA MSINGI KWA MWAKA WA MASOMO JANUARI –DESEMBA 2018.
SHULE IMESAJILIWA KWA NAMBA:MZ.07/7/EA.008 KWA SHULE YA AWALI NA
MZ.07/008 KWA SHULE YA MSINGI .
·
SHULE
INA MAZINGIRA SAFI NA SALAMA KWA WATOTO.
·
MALEZI BORA, TAALUMA BORA PIA MICHEZO INATHAMINIWA.
·
WALIMU WENYE UZOEFU KATIKA UFUNDISHAJI
·
KIINGEREZA
NI LUGHA INAYOTUMIKA KUFUNDISHIA PIA KWA MAWASILIANO SHULENI
·
TUNATOA HUDUMA YA MAJI,UMEME,UJI PAMOJA NA USAFIRI
·
PIA TUNATOA HUDUMA YA
MALAZI KWA WATOTO WANAOTOKA MBALI
·
ADA YETU NI NAFUU.
USAJILI UNAENDELEA SHULENI
FOMU ZINAPATIKANA NYEHUNGE GOROFANI, STATIONARY YA JOKABU
UKIONA TANGAZO HILI MJULISHE NA MWENZAKO
WAHI NAFASI NI CHACHE
KWA
MAWASILIANO: 0687-484286, O767-415154 AU 0688-727084.
NYOTE
MNAKARIBISHWA